Miundo ya data za faragha (Habari 24)

Upatikanaji na utumiaji wa ‘habari24.co.tz’ unawezeshwa na channel ya HABARI 24 Media. watumiaji wa tovuti hii wanaweza kuona matangazo ya biashara katika kurasa kadhaa zinazotolewa na kitengo cha kibiashara cha habari 24

Kwa kutumia habari24.co.tz unakubaliana na kanuni ambazo zinaanza kutumika mara tu unapoanza kuingia habari24.co.tz. Endapo haukubaliani na kananuni tafadhali usiingie, kutumia na /au kuchangia ndani ya habari24.co.tz.

Habari24 inaweza kubadilisha masharti haya mara kwa mara kwa hiyo ziangalie mara kwa mara. Utumiaji wako wa tovuti hii utachukuliwa kuwa kukubaliana na masharti yaliyoongezwa au kubadilishwa. Endapo haukubaliani, unatakiwa kuacha kutumia tovuti hii.

Endapo kuna mgongano wowote kati ya masharti haya na masharti yanaweza kuonekana sehemu nyingine za habari24.co.tz (ikiwa ni pamoja na taratibu za kurasa) basi mapya na yanayohusika zaidi yatatumika.

Haki miliki

Ukipata hitilafu yoyote katika taarifa iliyotolewa tafadhali chukua dakika moja kutuambia kuihusu. Tutasuluhisha mapema zaidi.

Kwa Masuala ya Hakimiliki: Tunajaribu tuwezavyo ili kuthibitisha umiliki wa maudhui na mchangiaji.