Wizara ya Viwanda na Biashara na BRELA Zafanya tathimini ya katazo la biashara 15 kwa wageni

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Mhe. Balozi Waziri Rajab Salum, tarehe 16 Septemba 2026 amefanya kikao kazi na taasisi wezeshi kwa biashara ikiwemo BRELA, TISEZA, TANTRADE, FCC, TPA, TASAC, Idara ya Uhamiaji, Idara ya Kazi na Ajira kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara ya Uchukuzi pamoja na Halmashauri za Dar es Salaam na Mwanza kwa lengo la ...