Hizi apa Timu zilizofuzu robo fainali klabu bingwa Afrika CAF 2024/2025,  Klabu nane zilizofuzu katika hatua ya robo fainali kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika. Hatua hii inakuja baada ya kumalizika kwa michuano ya hatua ya makundi siku ya ...

Ushindi wa mabao 2-0 waliopata Simba dhidi ya CS Constantine katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika umeifanya simba kumaliza vinara wa kundi A. Mchezo ulianza kwa kasi kwa Simba kuliandama lango la Constantine ...

YANGA ni kama imejibu mapigo kwa watani wao wa Simba, baada ya jioni hii kupata ushindi wa kishindo wa mabao 5-0 dhidi ya Fountain Gate ambayo mara baada ya mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex, jijini Dar es ...

Makundi ya Klabu Bingwa Africa 2024/2025 CAFCL, Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika, limetangaza makundi ya Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League) kwa msimu wa 2024/2025. Hafla hiyo iliyosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka barani kote, imefanyika jijini ...

Makundi ya shirikisho 2024 CAF, Shirikisho la mpira wa miguu Barani Afrika (CAF), limetangaza rasmi makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kwa msimu wa 2024/2025, baada ya droo iliyofanyika jijini Cairo, Misri. Droo hii iliyosubiriwa kwa hamu ...

Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025. Ligi Kuu ya Tanzania ni miongoni mwa Ligi Bora Afrika, tukianzi kwenye ushindani, ubora wa vikosi mpaka mafanikio ya virabu kimataifa mfano Simba, Yanga na Azam FC. Yanga ilifika fainali Kombe la Shirikisho ...

Ratiba ya NBC Premier League msimu wa 204/25. Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) leo imetoa ratiba ya NBC Premier League msimu wa 204/25 ambayo inaonesha itaanza kutimua vumbi Agosti 16, 2024 kwa kuishuhudia mechi moja kati ya Pamba Jiji ...

MASHINE ya Kusaga na Kukoboa Duke Abuya raia wa Kenya ambaye ni kiungo aliyekuwa ndani ya Singida Black Stars atakuwa kwenye anga la kimataifa na uzi wa kijani na njano katika kikosi cha Miguel Gamondi Yanga. Yanga chini ya Kocha ...