Dar es Salaam. Serikali imetangaza kulifutia usajili Kanisa la Ufufuo na Uzima, linalomilikiwa na Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, ikiwa ni siku moja tangu kiongozi huyo wa kiroho atangaze msimamo wake wa kuendelea kukemea vitendo vya utekaji na watu ...
Mwanaharakati wa Uganda, Agather Atuhaire amepatikana leo baada ya kutelekezwa katika mpaka wa Tanzania na Uganda.Hii ni kulingana na familia yake na jamaa zake wa karibu. Agather Atuhaire pamoja na Boniface Mwangi walikamatwa pindi walipowasili nchini Tanzania kufuatilia kesi zinazomkabili ...
Kikundi cha wanaharakati kinachoongozwa na Martha Karua kimeiandikia Umoja wa Afrika (AU) barua kikitaka ichukue hatua dhidi ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwa madai ya kuwakamata kinyume cha sheria wanaharakati wawili: Agather Atuhaire kutoka Uganda na Boniface Mwangi ...
📢 HESLB Yatangaza Upangaji Mikopo Kwa Wanafunzi wa Stashahada Mwezi Machi 2025 – Fahamu Kila Kitu! Imechapishwa: Mei 19, 2025 Baraza la Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) limeweka wazi taarifa mpya kuhusu upangaji wa mikopo kwa wanafunzi ...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini kimemvua uongozi mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Lemburus Mchome leo Jumamosi, Mei 17, 2025. Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Ndonde Tottinan amethibitisha kuvuliwa uongozi wa Mchome ...
🌍 Fursa ya Kujitolea Kufundisha Katika Shule za Msingi Kupitia Mradi wa GPE-TSP Je, wewe ni mhitimu wa ualimu mwenye hamasa ya kuleta mabadiliko kwenye sekta ya elimu ya msingi hapa Tanzania? Ofisi ya Rais – TAMISEMI kupitia Mradi wa ...
Biashara kati ya Urusi na Tanzania imeongezeka kwa asilimia 20 tangu mwanzo wa mwaka 2025, huku mauzo ya bidhaa za Urusi kwenda nchi hiyo ya Afrika Mashariki yakikua kwa robo, shirika la habari la TASS liliripoti Jumanne, likinukuu data zilizojadiliwa ...
Rais wa Ukraine, Vladimir Zelensky, amesema yuko tayari “binafsi” kukutana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, nchini Türkiye siku ya Alhamisi, lakini tu ikiwa Moscow itakubali kwanza usitishaji vita. Kauli yake imekuja baada ya pendekezo la Urusi kuanza mazungumzo ya ...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU TAARIFA KWA UMMA TANGAZO LA FURSA 800 ZA AJIRA YA UDEREVA NCHINI QATAR Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa ...
TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI 2025 1.Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia elimu ya Sekondari hadi elimu ya Juu. Aidha, uandikishaji utahusisha vijana wa Kitanzania ...