π’ HESLB Yatangaza Upangaji Mikopo Kwa Wanafunzi wa Stashahada Mwezi Machi 2025 β Fahamu Kila Kitu! Imechapishwa: Mei 19, 2025 Baraza la Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) limeweka wazi taarifa mpya kuhusu upangaji wa mikopo kwa wanafunzi ...
π Fursa ya Kujitolea Kufundisha Katika Shule za Msingi Kupitia Mradi wa GPE-TSP Je, wewe ni mhitimu wa ualimu mwenye hamasa ya kuleta mabadiliko kwenye sekta ya elimu ya msingi hapa Tanzania? Ofisi ya Rais β TAMISEMI kupitia Mradi wa ...
β Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025 na Vyuo vya Kati | TAMISEMI Form Five Selection Unatafuta majina ya waliochaguliwa kidato cha tano 2025 au nafasi za kujiunga na vyuo vya kati Tanzania?Makala hii ya kina inakupa taarifa zote ...
Matokeo ya Kidato cha nne 2024/2025 yanatoka lini?, Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE), unaosimamiwa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), ni moja ya mitihani muhimu katika ngazi ya elimu nchini Tanzania. Mtihani huu, unaofanywa mwishoni mwa miaka minne ...
Majina ya Wanafunzi na Shule Walizopangiwa Kidato cha Kwanza 2025 | Shule walizopangiwa form one 2025 (Shule walizopangiwa kidato cha kwanza 2025) | Uchaguzi wa Kidato cha Kwanza 2025 | Shule walizopangiwa Darasa la saba Kila mwaka, mamilioni ya wanafunzi ...
Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba (Psle) 2024. βJumla ya watahiniwa 974,229 Sawa na 80.87%, watahiniwa wenye matokeo wamefaulu na kumaliza Elimu ya Msingi 2024, hivyo ufaulu wa jumla umeongezeka kwa 0.29%, Kati ya watahiniwa hao wavulana ni 449,057 ...
Majina ya waliopata Mkopo awamu ya pili 2024/2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumatano (Oktoba 09, 2024) imetangaza awamu ya pili ya orodha ya wanafunzi wenye sifa waliopangiwa mikopo na ruzuku kwa ajili ya ...
Majina ya waliopata mkopo awamu ya kwanza 2024/2025 Ni awamu ya kwanza yenye wanafunzi 21,509 Mikopo yao ina thamani ya TZS 70.78 bilioni Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumamosi (Septemba 28, 2024) imeanza kutangaza ...
TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA (DIPLOMA) 1. Kuanzia mwaka wa masomo 2023/2024 Serikali ilianza kutoa mikopo kwa wanafunzi wenye sifa nzuri za stashahada (Diploma) za kipaumbele kwa Taifa ambazo zinatajwa kwa kina katika 'Mwongozo wa Utoaji Mikopo kwa Stashahada ...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa kuwasilisha maombi ya mikopo umeongezwa mbele hadi tarehe 14 Septemba, 2024. Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao ...