Matokeo ya Kidato cha nne 2024/2025 yanatoka lini?, Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE), unaosimamiwa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), ni moja ya mitihani muhimu katika ngazi ya elimu nchini Tanzania. Mtihani huu, unaofanywa mwishoni mwa miaka minne ...