Hizi apa Timu zilizofuzu robo fainali klabu bingwa Afrika CAF 2024/2025, Klabu nane zilizofuzu katika hatua ya robo fainali kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika. Hatua hii inakuja baada ya kumalizika kwa michuano ya hatua ya makundi siku ya ...