Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025. Ligi Kuu ya Tanzania ni miongoni mwa Ligi Bora Afrika, tukianzi kwenye ushindani, ubora wa vikosi mpaka mafanikio ya virabu kimataifa mfano Simba, Yanga na Azam FC.
Yanga ilifika fainali Kombe la Shirikisho Afrika msimu wa 2022/2023 na msimu wa 2023/24 Simba na Yanga zote zikiishia robo fainali Klabu Bingwa Afrika.
Msimu uliopita Yanga ilishika nafasi ya kwanza kwa kuweka alama 80 kibindoni, ikifatiwa na Azam FC alama 69 na Simba nafasi ya tatu alama 69. Simba na Azam FC wakitofautiana kwa magoli ya kufunga na kufungwa.
Msimu wa 2024/25 Simba itashiriki Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga na Azam wataiwakilisha tanza katika Ligi ya Mabingwa Afrika.
Leave a Reply