Makundi ya wapiganaji wa Jihadi nchini Syria yamefika katika viunga vya Damascus kama sehemu ya mashambulizi yanayoendelea kwa kasi, ambayo yameteka baadhi ya miji mikubwa ya Syria, shirika la habari la Associated Press liliandika Jumamosi, likiwanukuu viongozi wa upinzani na ...