Waandamanaji katika maeneo mbalimbali ya Madagascar wanataka Rais Andry Rajoelina ajiuzulu, wakimtuhumu serikali yake kwa usimamizi mbovu na kushindwa kutoa huduma za msingi, ikiwemo maji na umeme. Maelfu ya watu walikusanyika tena Jumatano chini ya mwavuli wa vijana wanaojiita ...
Serikali ya Tanzania imeijibu ripoti ya Shirika la Kimataifa la Uangalizi wa Haki za Binadamu (HRW) juu ya ukiukwaji wa haki za kiraia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, ikisema ni ya upotoshaji na uongo. ...
Tanzania, kupitia moja ya taasisi kubwa za kifedha nchini, imezindua kadi mpya ya biashara ya malipo (debit card) ambayo itawawezesha wamiliki wake kulipwa fidia za kifedha endapo kutatokea changamoto katika safari zao. Hii inahusisha ucheleweshaji wa ndege, mizigo kupotea au ...
Seikali ya Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kulinda na kuendeleza haki za binadamu, utawala bora na utawala wa sheria kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2025. Kauli hiyo imetolewa na Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Ofisi ...
Jeshi la Polisi Tanzania limeeleza kuwa sehemu kubwa ya matukio ya watu kuripotiwa kupotea au kutekwa nchini humo hayahusiani na vitendo halisi vya utekaji, bali yamesababishwa na sababu za kibinafsi kama mapenzi, migogoro ya kifamilia, imani za kishirikina na ukwepaji ...
Dar es Salaam. Serikali imetangaza kulifutia usajili Kanisa la Ufufuo na Uzima, linalomilikiwa na Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, ikiwa ni siku moja tangu kiongozi huyo wa kiroho atangaze msimamo wake wa kuendelea kukemea vitendo vya utekaji na watu ...
Mwanaharakati wa Uganda, Agather Atuhaire amepatikana leo baada ya kutelekezwa katika mpaka wa Tanzania na Uganda.Hii ni kulingana na familia yake na jamaa zake wa karibu. Agather Atuhaire pamoja na Boniface Mwangi walikamatwa pindi walipowasili nchini Tanzania kufuatilia kesi zinazomkabili ...
Kikundi cha wanaharakati kinachoongozwa na Martha Karua kimeiandikia Umoja wa Afrika (AU) barua kikitaka ichukue hatua dhidi ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwa madai ya kuwakamata kinyume cha sheria wanaharakati wawili: Agather Atuhaire kutoka Uganda na Boniface Mwangi ...
📢 HESLB Yatangaza Upangaji Mikopo Kwa Wanafunzi wa Stashahada Mwezi Machi 2025 – Fahamu Kila Kitu! Imechapishwa: Mei 19, 2025 Baraza la Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) limeweka wazi taarifa mpya kuhusu upangaji wa mikopo kwa wanafunzi ...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini kimemvua uongozi mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Lemburus Mchome leo Jumamosi, Mei 17, 2025. Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Ndonde Tottinan amethibitisha kuvuliwa uongozi wa Mchome ...









