Ligi Kuu Tanzania Bara inarejea wikiendi hii. Sababu kubwa ya ligi kusitishwa kwa muda ilikuwa ni changamoto za kiuendeshaji zilizotokana na sababu za kiusalama na miongozo yake ni kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano ...

Tanzania, kupitia moja ya taasisi kubwa za kifedha nchini, imezindua kadi mpya ya biashara ya malipo (debit card) ambayo itawawezesha wamiliki wake kulipwa fidia za kifedha endapo kutatokea changamoto katika safari zao. Hii inahusisha ucheleweshaji wa ndege, mizigo kupotea au ...