Kiongozi wa Kundi la Hamas alieuwawa Yahya Sinwar, alikataa fursa ya kutoroka na kuondoka Ukanda wa Gaza, kwa kubadilishana na kuruhusu Misri kufanya mazungumzo ya makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza badala ya Hamas, jarida hilo la Wall Street Journal liliripoti ...
Israel imefanya mashambulizi zaidi ya anga huko Beirut na kusini mwa Lebanon, ikiwa ni pamoja na matawi ya benki ambayo inasema inaunga mkono Hezbollah. Milipuko ilisikika katika wilaya ya Dahieh ya Beirut kusini, eneo linalodhibitiwa na Hezbollah, pamoja na Bonde ...
Katika miongo ya hivi karibuni, taasisi ya ulinzi ya Israel imewekeza mabilioni ya fedha katika kutayarisha mashambulizi yanayoweza kutokea dhidi ya Iran, ikitengeneza silaha maalum katika kipindi cha miaka 20. Baadhi ya uwezo huu ulifichuliwa tu baada ya silaa izo ...
Kundi la Taliban limeapa kupiga marufuku picha za binadamu na wanyama katika vyombo vya habari vya Afghanistan kama sehemu ya kampeni kubwa ya kundi hilo la Kiislamu kutekeleza sheria za Sharia ya Kiislam kote nchini humo. Ingawa Taliban awali iliahidi ...
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Israel IDF Lt.-Gen. Herzi Halevi alizungumza kwa simu Jumanne na mwenzake wa Italia, Jenerali Luciano Portolano, kuhusu kampeni ya IDF ya Lebanon, kulingana na IDF. Wakati wa simu hiyo, walijadili operesheni za hivi majuzi, ...
Marekani imeamibia Israel kwamba itawekea vikwazo vya silaha kwa taifa hilo la Kiyahudi ikiwa haitasuluhisha mzozo wa kibinadamu huko Gaza, N12 iliripoti Jumanne. Ikulu ya White House iliripotiwa kuelezea wasiwasi wake mkubwa juu ya "kuzorota kwa hali ya kibinadamu huko ...
Jeshi la Korea Kaskazini limeviagiza vikosi vya kijeshi vilivyo mstari wa mbele kuwa tayari kufyatua roketi kuelekea Korea Kusini baada ya ndege zisizo na rubani kutoka Kusini kudaiwa kutupa vipeperushi vya propaganda juu ya Pyongyang, shirika la habari la serikali ...
Marekani imeamuru kutumwa kwa mfumo wa ulinzi wa anga wa THAAD kwa Israel, pamoja na wanajeshi wa Marekani wa kuuendesha, Katibu wa Wanahabari wa Pentagon Meja Jenerali Pat Ryder alitangaza Jumapili. Hatua hiyo inaashiria kutumwa kwa wanajeshi wa Marekani kwa ...
NATO imeanzisha mazoezi ya nyuklia huko Ulaya Magharibi huku kukiwa na mvutano mkubwa na Urusi kuhusu mzozo wa Ukraine. Zoezi hilo la kila mwaka la ‘Mchana Mgumu’ lilianza Jumatatu, na linahusisha wanachama kumi na watatu wa kambi hiyo ya kijeshi ...
Shambulio la ndege zisizo na rubani la Hezbollah karibu na Binyamina siku ya Jumapili, ambalo liliacha watu 67 kujeruhiwa, linaonyesha tishio linaloongezeka linaloletwa na ndege zisizo na rubani katika vita vya kisasa. Ndege hiyo isiyo na rubani iliyotumika katika shambulio ...