Baada ya usiku tulivu uliogubikwa na wasiwasi na mashaka, wakazi wa mji wa Goma, katika Kivu Kaskazini, waliamka na milipuko ya silaha nzito na nyepesi zilizokuwa zikiendelea kurindima saa sita mchana katika wilaya kadhaa, hususan Birere na Bujovu, zilizoko karibu. ...
Bashar Assad na familia yake wako Moscow, mwanadiplomasia mkuu wa Urusi Mikhail Ulyanov alisema mapema Jumatatu asubuhi, akionekana kuthibitisha ripoti za awali za vyombo vya habari kwamba rais wa zamani wa Syria amepewa hifadhi. Serikali ya Damascus iliangukia mikononi mwa ...
Serikali Yatangaza ajira 11,015 za walimu - Ajira za walimu 2024/2025, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye ...