Makundi ya shirikisho 2024 CAF
Makundi ya shirikisho 2024 CAF, Shirikisho la mpira wa miguu Barani Afrika (CAF), limetangaza rasmi makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kwa msimu wa 2024/2025, baada ya droo iliyofanyika jijini Cairo, Misri. Droo hii iliyosubiriwa kwa hamu kubwa imepangilia timu 16 katika makundi manne, ambapo kila kundi lina timu nne zitakazochuana vikali kuwania nafasi ya kuingia hatua ya robo fainali.
Makundi ya shirikisho 2024 CAF
Group A
Simba SC (Tanzania)
CS Sfaxien (Tunisia)
CS Constantine (Algeria)
Bravos do Maquis (Angola)
Group B
RSB Berkane (Morocco)
Stade Malien Bamako (Mali)
Stellenbosch (South Africa)
Desportivo Lundavs Sul (Angola)
Group C
USMA Alger (Algeria)
ASEC Mimosas (Cote d’Ivoire)
Jaraaf (Senegal)
Orapa United (Botswana)
Group D
Zamalek (Egypt)
Masry (Egypt)
Enyimba (Nigeria)
Black Bulls Maputo (Mozambique)