Umoja wa Mataifa waitaka Tanzania kuchunguza mauaji ya siku ya uchaguzi

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Volker TΓΌrk ametaka uchunguzi juu ya mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania, huku ripoti zikiibuka kwamba miili inachukuliwa na vikosi vya usalama na kupelekwa katika maeneo ambayo hayajajulikana. Taarifa zilizopatikana na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa ...