Serikali ya Tanzania yajibu ripoti ya Human Right Watch ya haki za binadamu Posted by assengablogtz@gmail.com Image with Link Serikali ya Tanzania imeijibu ripoti ya Shirika la Kimataifa la Uangalizi wa Haki za Binadamu (HRW) juu ya ukiukwaji wa haki za kiraia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, ikisema ni ya upotoshaji na uongo. Image with Link Image with Link Image with Link assengablogtz@gmail.com October 2, 2025
Leave a Reply
View Comments