Kufunguliwa kwa kambi ya makombora ya Marekani nchini Poland ni jaribio la kudhibiti uwezo wa kijeshi wa Urusi, msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amesema. Washington inatazamiwa kufungua rasmi kituo kipya cha ulinzi wa anga cha NATO kaskazini mwa Poland siku ...