
Seikali ya Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kulinda na kuendeleza haki za binadamu, utawala bora na utawala wa sheria kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2025. Kauli hiyo imetolewa na Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Dkt. Abdallah S. Possi, wakati wa majadiliano ya wazi kuhusu taarifa ya mwaka ya ...