Ligi kuu ya Tanzania bara kurejea wikiendi hii

Ligi Kuu Tanzania Bara inarejea wikiendi hii. Sababu kubwa ya ligi kusitishwa kwa muda ilikuwa ni changamoto za kiuendeshaji zilizotokana na sababu za kiusalama na miongozo yake ni kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB), Novemba 4.

Image with Link Description of Image

Tayari TPLB wametangaza kurejea kwa ligi hivyo wikiendi hii kazi inanedelea kwa wababe kuwa uwanjani.
Novemba 8,2025

Image with Link Description of Image

Pamba Jiji FC vs Singida Black Stars, mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
JKT Tanzania vs Simba SC, mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mej.Jen.Isamuhyo.

Image with Link Description of Image

Novemba 9,2025
Yanga SC vs KMC FC, Uwanja wa KMC Complex.
Namungo FC vs Azam FC, Uwanja wa Majaliwa.

Image with Link Description of Image