Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba (Psle) 2024

Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba
Image with Link Description of Image

Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba (Psle) 2024. “Jumla ya watahiniwa 974,229 Sawa na 80.87%, watahiniwa wenye matokeo wamefaulu na kumaliza Elimu ya Msingi 2024, hivyo ufaulu wa jumla umeongezeka kwa 0.29%, Kati ya watahiniwa hao wavulana ni 449,057 Sawa na 81.85% na wasichana ni 525,172 Sawa na 80.05%, hivyo ufaulu wa wasichana umeshuka kwa 0.53% na ufaulu wa wavulana umeongezeka kwa 1.26%”, Dk.Said Mohamed, Katibu Mtendaji NECTA

Image with Link Description of Image

KLIKI HAPA  MATOKEO MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2024.

Image with Link Description of Image
Image with Link Description of Image