habari24.co.tz
0
  • HABARI ZA KIMATAIFA
  • HABARI ZA KITAIFA
  • MICHEZO
habari24.co.tz
habari24.co.tz
  • HABARI ZA KIMATAIFA
  • HABARI ZA KITAIFA
  • MICHEZO
assengablogtz@gmail.com

assengablogtz@gmail.com

Marekani yasema haijaridhishwa na Uvamizi wa Ukraine uko Kursk Urusi
HABARI ZA KIMATAIFAURUSI na UKRAINE

Marekani yasema haijaridhishwa na Uvamizi wa Ukraine uko Kursk Urusi

Utawala wa Marekani Rais Joe Biden haujashawishika na mkakati wa Ukraine katika Mkoa wa Kursk na unahofia uwezekano wa kuongezeka kwa mashambulizi Moscow, gazeti la Washington Post liliripoti Jumamosi, likinukuu vyanzo nchini Marekani. Kiev ilizindua uvamizi wake mkubwa zaidi hadi ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com August 28, 2024 August 28, 2024
Urusi yatoa tadhimini mpya ya hasara kwa vikosi vya Ukraine uko Kursk
HABARI ZA KIMATAIFAURUSI na UKRAINE

Urusi yatoa tadhimini mpya ya hasara kwa vikosi vya Ukraine uko Kursk

Kuvamia kwa jeshi la Ukraine katika eneo la Kursk la Urusi kumegharimu pakubwa, huku vikosi vya Kiev vikiwa na majeruhi 6,600 na kupoteza vifaru 73 katika mashambulizi yao ya kuvuka mpaka, kulingana na takwimu za hivi punde zilizochapishwa na Wizara ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com August 28, 2024 August 28, 2024
Jeshi la Uingereza limetangaza kuajiri raia wa Afrika kutoka nchi za Jumuiya ya Madola
HABARI ZA KIMATAIFA

Jeshi la Uingereza limetangaza kuajiri raia wa Afrika kutoka nchi za Jumuiya ya Madola

Hivi karibuni ( 19 Agosti 2024) Jeshi la Uingereza kupitia tovuti yake limetangaza kuajiri raia wa Afrika kutoka nchi za Jumuiya ya Madola ili kujiunga na vikosi vyake vya kijeshi. Jeshi hilo limesema kuwa Waafrika kutoka nchi za Jumuiya ya ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com August 27, 2024 August 27, 2024
URUSI na UKRAINE

Wanajeshi wa Urusi wanakimbilia nafasi ya adui huko Donbass (VIDEO)

Wizara ya Urusi imetoa video ambayo inasema kuhusu mbinu za kijeshi zinazotumiwa na vitengo vya karibu na mji wa Ugledar katika Jamhuri ya Watu wa Donetsk ya Urusi. Mbinu inayoonyeshwa inahusisha kutumia mwendo wa kasi kwa pikipiki ili kuvuka kwa ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com August 27, 2024 August 27, 2024
Kumeripotiwa kukatika kwa umeme kote Ukraine huku kukiwa na mashambulizi ya Urusi
HABARI ZA KIMATAIFAURUSI na UKRAINE

Kumeripotiwa kukatika kwa umeme kote Ukraine huku kukiwa na mashambulizi ya Urusi

Shambulio kubwa la masafa marefu la anga la Urusi limeripotiwa kuanzishwa kulenga maeneo ya viwanda kote Ukraine. Kiev imeapa kujibu mashambulizi hayo dhidi ya Urusi. Mahambulizi ya masafa ya marefu yaliliripotiwa kurushwa mapema Jumatatu asubuhi na kuhusisha ndege zisizo na ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com August 26, 2024 August 26, 2024
WHO kanda ya Afrika kujadili kitisho cha ugonjwa wa Mpox
AFYAHABARI ZA KIMATAIFA

WHO kanda ya Afrika kujadili kitisho cha ugonjwa wa Mpox

Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus na mkurugrnzi wa Kanda ya Afrika ya WHO, Matshidiso Moeti, wanatarajiwa kuhudhuria mkutano huo unaoanza leo Jumatatu, pamoja na mawaziri 47 wa afya kutoka katika eneo hilo. Kulingana na tovuti ya Shirika la ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com August 26, 2024 August 26, 2024
Israel yashambulia maeneo 40 ya urushaji makombora Lebanon
HABARI ZA KIMATAIFAISRAEL & HAMAS

Israel yashambulia maeneo 40 ya urushaji makombora Lebanon

Israel yashambulia maeneo 40 ya urushaji makombora Lebanon Hezbollah ilisema ilifyatua maroketi 320 chapa ya Katyusa kuelekea Israel na kupiga shabaha 11 za kijeshi katika kile ilichokiita awamu ya kwanza ya kisasi dhidi ya Israel kwa mauaji ya Fuad Shukur, ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com August 26, 2024 August 26, 2024
Urusi yashambulia miundombinu ya nishati ya Ukraine
HABARI ZA KIMATAIFAURUSI na UKRAINE

Urusi yashambulia miundombinu ya nishati ya Ukraine – (VIDEO)

Jeshi la Urusi limefanya mashambulizi makubwa kwenye vituo vya nishati vya Ukraine, Wizara ya Ulinzi mjini Moscow imethibitisha. Rais Vladimir Zelensky wa Ukrainia alikiri kwamba nchi hiyo imepata mojawapo ya majanga makubwa zaidi katika miezi ya hivi karibuni, na kusababisha ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com August 26, 2024 August 26, 2024
Ukraine yaiambia Belarus kuondoa jeshi lake kutoka mpakani na nchi iyo
HABARI ZA KIMATAIFAURUSI na UKRAINE

Ukraine yaitaka Belarus kuondoa jeshi lake kutoka kwenye mpake wake na nchi iyo

Belarus imekusanya idadi kubwa ya wanajeshi kwenye mpaka wake na Ukraine, Wizara ya Mambo ya Nje ya Ukraine ilisema siku ya Jumapili, ikiionya Minsk dhidi ya kufanya "makosa ya kutisha." Ikinukuu ripoti za kijasusi, wizara hiyo ilisema kwamba Vikosi vya ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com August 26, 2024 August 26, 2024
Ndege zisizo na rubani za Kiukreni zashambulia nyumba ndani ya Urusi
HABARI ZA KIMATAIFAURUSI na UKRAINE

Ndege zisizo na rubani za Kiukreni zashambulia nyumba ndani ya Urusi (VIDEOS)

Ndege zisizo na rubani za Kiukreni zashambulia nyumba ndani ya Urusi Ndege zisizo na rubani za kamikaze za Ukraine zimegonga majengo ya makazi ya Gorofa katika Mkoa wa Saratov, Urusi, Gavana Roman Busargin alisema mapema Jumatatu. Kulingana na Busargin, walinzi ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com August 26, 2024 August 26, 2024
1 … 21 22 23 … 27
  • Maafisa wa jeshi la Nigeria wakabiliwa na kesi kufuatia njama ya mapinduzi iliyozimwa.
  • TikTok, Meta, na YouTube zashtakiwa katika kesi ya kwanza kabisa kuhusu uraibu wa watoto dhidi ya mitandao ya kijamii.
  • NAFASI ZA KUJIUNGA NA JKT KWA KUJITOLEA MWAKA 2026
  • Mbunge wa viti maalumu Halima Idd amefariki dunia akipatiwa matibabu
  • Uganda: Moses Ali achaguliwa tena kuwa Mbunge wa Adjumani Magharibi
  • HABARI ZA KIMATAIFA
  • HABARI ZA KITAIFA
  • MICHEZO

© 2025 habari24. All Rights Reserved.

Subscribe Newsletter

Get our latest news straight into your inbox.

Please input your email address. That email is already subscribed. Your address has been added.