habari24.co.tz
0
  • NEWS
  • NEWS PAPER
  • SPORTS
  • HABARI ZA KIMATAIFA
  • BUSSINES
  • HABARI ZA KITAIFA
habari24.co.tz
habari24.co.tz
  • NEWS
  • NEWS PAPER
  • SPORTS
  • HABARI ZA KIMATAIFA
  • BUSSINES
  • HABARI ZA KITAIFA
assengablogtz@gmail.com

assengablogtz@gmail.com

Waafrika wanaunga mkono Urusi
HABARI ZA KIMATAIFA

Waafrika wanaunga mkono Urusi – Borrell kiongozi wa EU

Mwanadiplomasia mkuu wa Umoja wa Ulaya Josep Borrell  ameeleza kushangazwa na kiwango cha juu cha uungwaji mkono wa Rais wa Urusi Vladimir Putin na miongoni mwa watu barani Afrika. "Barani Afrika, watu wanamuunga mkono Putin. Wanasema Putin alimuokoa Donbass,” Josep ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com July 12, 2024 July 12, 2024
Japan yaipa Tanzania msaada wa Tsh Bilioni 8.9 kwa ajili ya mradi wa ukarabati wa Bandari ya Kigoma
HABARI ZA KITAIFA

Japan yaipa Tanzania msaada wa Tsh Bilioni 8.9 kwa ajili ya mradi wa ukarabati wa Bandari ya Kigoma

Tanzania imepokea msaada wa nyongeza wa Yen za Japan milioni 548 sawa na shilingi bilioni 8.9 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa ukarabati wa Bandari ya Kigoma baada ya marekebisho ya mikataba miwili ya msaada kati ya Tanzania, Shirika ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com July 12, 2024 July 12, 2024
Yanga yanasa Saini ya kiungo Duke Abuya raia wa Kenya
SPORTS

Usajili Yanga 2024: Yanga yanasa Saini ya kiungo Duke Abuya raia wa Kenya

MASHINE ya Kusaga na Kukoboa Duke Abuya raia wa Kenya ambaye ni kiungo aliyekuwa ndani ya Singida Black Stars atakuwa kwenye anga la kimataifa na uzi wa kijani na njano katika kikosi cha Miguel Gamondi Yanga. Yanga chini ya Kocha ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com July 12, 2024 July 12, 2024
HABARI ZA KIMATAIFA

Rais Putin akutana na Spika wa Bunge la Tanzania

Rais wa Urusi Vladimir Putin amesisitiza umuhimu wa ushirikiano baina ya mabunge ya kimataifa katika kusaidia kukabiliana na changamoto za kimataifa. Kiongozi huyo wa Urusi alitoa maoni hayo katika mkutano wake na Tulia Akson, rais wa Muungano wa Mabunge ya ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com July 12, 2024 July 12, 2024
Akamatwa kwa kumuua rafiki yake kisha kumpora Milioni 61
HABARI ZA KITAIFA

Akamatwa kwa kumuua rafiki yake kisha kumpora Milioni 61

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mkakati wake maalum wa kuzuia vitendo vyote vya kihalifu katika jiji la Dar es Salaam. Tarehe 28 Juni 2024 lilimkamata na kumuhoji kwa kina Mussa Khamis Bakari buda (30) ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com July 12, 2024 July 12, 2024
Biden amchanganya Zelensky na Putin (VIDEO)
HABARI ZA KIMATAIFA

Biden amchanganya Zelensky na Putin (VIDEO)

Rais wa Marekani Joe Biden amemchanganya kiongozi wa Ukraine Vladimir Zelensky na Rais wa Urusi Vladimir Putin, katika dosari ya aibu ambayo itaongeza uchunguzi juu ya hali ya akili ya Biden. Tukio hilo lilitokea Washington siku ya Alhamisi, wakati Biden ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com July 12, 2024 July 12, 2024
1 … 32 33
  • Eritrean Troop Movements in Tigray Raise Fears of Wider Ethiopia-Eritrea Conflict
  • U23 Tanzania Vs Kenya: Tanzania crash out of AFCON qualifiers despite beating Kenya
  • EWURA Announces New Fuel Price Caps as Global Refined Oil Costs Rise
  • Tanzania newspaper today Monday Oct 5, 2026
  • France vs Italy Prediction, Lineups, H2H and UEFA Nations League Preview
  • About Habari 24
  • Privacy Policy (Habari 24)
  • Contact Habari 24

© 2025 habari24. All Rights Reserved.

Subscribe Newsletter

Get our latest news straight into your inbox.

Please input your email address. That email is already subscribed. Your address has been added.