Inspekta Jenerali wa polisi Japhet Koome amejiuzulu. Naibu Inspekta Jenerali wa Huduma ya Polisi ya Kenya Douglas Kanja atachukua nafasi ya IG Koome kama kaimu IG. Mheshimiwa William Samoei Ruto, PhD, CGH, Rais na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, katika ...