Shambulio la ndege zisizo na rubani la Hezbollah karibu na Binyamina siku ya Jumapili, ambalo liliacha watu 67 kujeruhiwa, linaonyesha tishio linaloongezeka linaloletwa na ndege zisizo na rubani katika vita vya kisasa. Ndege hiyo  isiyo na rubani iliyotumika katika shambulio ...

Wanajeshi wanne wa IDF wameuawa na wengine saba wamejeruhiwa vibaya katika shambulio la ndege isiyo na rubani ya Hezbollah iliyolenga kambi ya kijeshi karibu na Binyamina, Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) liiliripoti Jumapili usiku. Wanajeshi wote waliojeruhiwa walihamishwa na ...