Karibu kwenye Mkusanyiko wa habari kuku za dunia leo, Habari na matukio mbali mbali yaliyojiri kutoka kona mbali mbali duniani UKRAINE: Ukraine yatazamiwa kupokea dola milioni 225 zaidi za msaada wa kijeshi kutoka Marekani huku nchi nyingine wanachama wa Jumuiya ...