Mwanadiplomasia mkuu wa Umoja wa Ulaya Josep Borrell ameeleza kushangazwa na kiwango cha juu cha uungwaji mkono wa Rais wa Urusi Vladimir Putin na miongoni mwa watu barani Afrika. "Barani Afrika, watu wanamuunga mkono Putin. Wanasema Putin alimuokoa Donbass,” Josep ...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesisitiza umuhimu wa ushirikiano baina ya mabunge ya kimataifa katika kusaidia kukabiliana na changamoto za kimataifa. Kiongozi huyo wa Urusi alitoa maoni hayo katika mkutano wake na Tulia Akson, rais wa Muungano wa Mabunge ya ...
Rais wa Marekani Joe Biden amemchanganya kiongozi wa Ukraine Vladimir Zelensky na Rais wa Urusi Vladimir Putin, katika dosari ya aibu ambayo itaongeza uchunguzi juu ya hali ya akili ya Biden. Tukio hilo lilitokea Washington siku ya Alhamisi, wakati Biden ...