Jeshi la Uingereza linafikiria kupeleka wanajeshi Ukraine kutoa mafunzo kwa vikosi vya Kiev katika maeneo "yaliyojitenga", gazeti la The Times liliripoti Alhamisi, likinukuu vyanzo vya ndani. Kutuma wakufunzi badala ya kuwafunza wanajeshi wa Kiukreni katika ardhi ya Uingereza kunaweza kuwa ...
Seoul hapo awali ilionya kwamba Pyongyang inaweza kutuma jeshi lake la kawaida nchini Ukraine kupigania Moscow Ripoti kwamba wanajeshi wa Korea Kaskazini wanapigana pamoja na vikosi vya Urusi katika mzozo wa Ukraine si za kweli, msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov ...
Wanajeshi kadhaa wa Ukraine wamejisalimisha katika mji wa Donbass wa Ugledar, ambao ulitekwa mapema wiki hii, Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema. Katika taarifa yake siku ya Ijumaa, wizara hiyo ilisema kwamba wanajeshi 83 wa Ukraine walijisalimisha katika mstari wa ...
Rais wa Kroatia Zoran Milanovic amekataa kuchangia wanajeshi kwa kamandi ya NATO kwa ajili ya kutoa msaada wa kijeshi kwa Kiev, akihoji kwamba hii itaivuta Zagreb - Krotia katika mzozo wa moja kwa moja na Moscow. Jamhuri hiyo ya zamani ...
Urusi inasema nchi za Magharibi zinacheza na moto kwa kuzingatia kuiruhusu Ukraine kushambulia Urusi kwa makombora ya Magharibi na kuionya Marekani siku ya Jumanne kwamba Vita vya Tatu vya Dunia havitaishia Ulaya pekee. Ukraine ilishambulia eneo la Kursk magharibi mwa ...
Katibu Mkuu mteule wa NATO, Waziri Mkuu wa zamani wa Uholanzi Mark Rutte ameunga mkono wazo la kuruhusu Ukraine kutumia silaha zinazotolewa na nchi za Magharibi kushambulia hadi ndani ya ardhi ya Urusi. Rutte aliyasema hayo Jumanne wakati wa mkutano ...
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imedai kuharibu hadi ndege 250 za kijeshi za Ukraine katika mashambulizi ya anga katika Mkoa wa Zaporozhye. Kulingana na jeshi la Urusi, mashambulizi ya kutumia mabomu ya kuteleza (Glide Bombs) yalilenga "warsha na ghala" za ...
Vikosi vya Urusi vimeripotiwa kushambulia eneo la kupakua mizigo ya treni katika Mkoa wa Nikolaev kusini mwa Ukraine, na kuharibu mabehewa kadhaa yaliyojaa risasi, Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema Jumatatu. Shambulio hilo lilitekelezwa kwa kutumia mfumo wa makombora wa ...
Mzozo kati ya Urusi na Ukraine utaisha wakati Moscow itakapotimiza malengo yote ya operesheni maalum ya kijeshi, msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov aliwaambia waandishi wa habari wakati wa mkutano Jumanne. Peskov alikuwa akijibu madai ya rais wa Ukraine Vladimir Zelensky ...
Vikosi vya Urusi vimedungua ndege tatu za kivita za Ukraine katika muda wa saa 24 zilizopita, Wizara ya Ulinzi mjini Moscow imesema. Ndege mbili aina ya Sukhoi Su-27 zinazoendeshwa na Kiev ziliharibiwa na Vikosi vya Wanaanga vya Urusi, huku ulinzi ...