Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Türk ametaka uchunguzi juu ya mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania, huku ripoti zikiibuka kwamba miili inachukuliwa na vikosi ...
Serikali ya Tanzania imeijibu ripoti ya Shirika la Kimataifa la Uangalizi wa Haki za Binadamu (HRW) juu ya ukiukwaji wa haki za kiraia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, ikisema ni ya upotoshaji na uongo. ...
Tanzania, kupitia moja ya taasisi kubwa za kifedha nchini, imezindua kadi mpya ya biashara ya malipo (debit card) ambayo itawawezesha wamiliki wake kulipwa fidia za kifedha endapo kutatokea changamoto katika safari zao. Hii inahusisha ucheleweshaji wa ndege, mizigo kupotea au ...
Seikali ya Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kulinda na kuendeleza haki za binadamu, utawala bora na utawala wa sheria kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2025. Kauli hiyo imetolewa na Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Ofisi ...
Jeshi la Polisi Tanzania limeeleza kuwa sehemu kubwa ya matukio ya watu kuripotiwa kupotea au kutekwa nchini humo hayahusiani na vitendo halisi vya utekaji, bali yamesababishwa na sababu za kibinafsi kama mapenzi, migogoro ya kifamilia, imani za kishirikina na ukwepaji ...
Dar es Salaam. Serikali imetangaza kulifutia usajili Kanisa la Ufufuo na Uzima, linalomilikiwa na Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, ikiwa ni siku moja tangu kiongozi huyo wa kiroho atangaze msimamo wake wa kuendelea kukemea vitendo vya utekaji na watu ...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini kimemvua uongozi mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Lemburus Mchome leo Jumamosi, Mei 17, 2025. Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Ndonde Tottinan amethibitisha kuvuliwa uongozi wa Mchome ...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema halikumkamata mtu yeyote katika tukio lililotokea eneo la Kariakoo, bali lilichukua hatua ya kuzuia fujo kutokana na kile kilichoelezwa kuwa kutokuwepo kwa uwanja rasmi wa kufanyia mkutano wa hadhara katika ...
Serikali ya Tanzania imesema itazuia uingizaji wa mazao na bidhaa za kilimo kutoka nchi za Malawi na Afrika Kusini kuanzia Jumatano Aprili 23, 2025 endapo vikwazo kwa Tanzania miongoni mwa nchi hizo vitaendelea. Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Kilimo, ...
Urusi imetoa wito wa kusitishwa mara moja mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DR Congo), ambako kundi la waasi la M23 limezidisha mashambulizi dhidi ya jeshi la taifa na vikosi vya kulinda amani. Katika taarifa yake siku ya ...









