BENKI ya CRDB Kupitia Wakala wake Mkuu NAD Insurance Agency inatangaza fursa za Ajira 400 Kwa Vijana wa Kike na wa Kiume wenye Sifa katika nafasi ya Kufungua Akaunti za wateja wapya wa CRDB (Freelancers).
Maeneo ya Kazi: Mara, Kagera, Mwanza Pamoja na Simiyu.
Sifa za Mwombaji
- Awe na Elimu kuanzia Kidato Cha Nne na kuendelea.
- Awe na Umri wa kuanzia 18 hadi 35.
- Awe na Simu Janja (Smartphone, Android)
- Awe Mchapakazi na hodari na
- Awe Mwaminifu.
Tuma CV yako kwa email jobs@nad.co.tz
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo;
Mwanza: 0741516831
Kagera: 0741575516
Mara: 0741670590 na
Simiyu: 0741561267.
Leave a Reply
View Comments