Ratiba ya NBC Premier League msimu wa 204/25. Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) leo imetoa ratiba ya NBC Premier League msimu wa 204/25 ambayo inaonesha itaanza kutimua vumbi Agosti 16, 2024 kwa kuishuhudia mechi moja kati ya Pamba Jiji ...
Ukraine imevamia eneo la Mpakani la Urusi Mapema Jumanne, jeshi la Ukraine lilianzisha uvamizi mkubwa katika Mkoa wa Kursk wa Urusi, na kuvunja mpaka katika maeneo mengi. Shambulizi hilo lililenga mji wa Sudzha, ulioko umbali wa kilomita 9 kutoka mpakani. ...
Wanajeshi wa mwisho wa Marekani waondoka Niger Jeshi la Marekani limemaliza kujiondoa katika kambi yake ya mwisho huko Niger, Pentagon na mamlaka ya taifa hilo la Afrika Magharibi ilitangaza Jumatatu, kuashiria mwisho wa ujumbe wa Washington wa kukabiliana na ugaidi ...
Vijana 5 waliombaka Binti kwa maagizo ya afande "Wakamatwa" Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu. ...
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa ...