Papa Francis aliwaambia waandishi wa habari siku ya Ijumaa kwamba, Wagombea urais wa Marekani Donald Trump na Kamala Harris wote "wanapingana na haki ya mtu kuishi," na wapiga kura Wakatoliki wa Marekani wanapaswa kuchagua "mgombea ambae ni muovu mdogo," Akizungumza ...
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameonya kuwa, Kuondoa vikwazo vya matumizi ya silaha za nchi za Magharibi kwa Ukraine kutahusisha moja kwa moja Marekani na washirika wake katika mzozo na Urusi na akaonya kwamba kutapatiwa jibu mwafaka kutoka kwa Urusi. ...
NAFASI 174 ZA WALIMU NA WASIO WALIMU MBEYA MUNICIPAL COUNCIL Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya anawatangazia wananchi wenye sifa kuomba nafasi za kazi ya Ualimu ya mkataba wa kudumu ili kujaza nafasi mbalimbali kwa Shule za Msingi zenye ...
Wanajeshi wa Urusi wamevirudisha nyuma vikosi vya Ukraine kufuatia uvamizi wao katika Mkoa wa Kursk na kukomboa makazi kadhaa, Wizara ya Ulinzi ya Moscow imetangaza. Katika taarifa yake siku ya Alhamisi, wizara hiyo ilisema kuwa katika muda wa saa 48 ...
Ukraine imepoteza takriban wanajeshi 11,400 tangu ilipoanzisha uvamizi katika Mkoa wa Kursk nchini Urusi mwezi uliopita, Wizara ya Ulinzi ya Moscow ilisema Jumatatu. Jeshi la Urusi pia limeharibu zaidi ya vitengo 1,000 vya vifaa vya kijeshi vya Ukraine, vikiwemo vifaru ...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema katika mahojiano na chapisho la Brazil, Metropoles kwamba mpango wa amani uliopendekezwa na serikali za Brazil na China unalingana zaidi na maslahi ya Urusi na bado haukubaliki kwa Kiev. "Kwa bahati mbaya, nadhani [mipango ...
Chama kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema kimetangaza kufanya maandamano Septemba 23 katika jiji kuu la kibiashara, Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kueleza walipo wanachama wao waliodaiwa kupotea. Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amesema, “Nimetangaza hadi kufikia September 21,2024 tunategemea ...
Wanafunzi 17 wa shule ya msingi ya Hillside Endarasha wamefariki baada ya bweni lao kuungua moto usiku wa kuamkia leo. Wanafunzi hao wameteketezwa kiasi cha kutotambulika huku wengine 13 wakiwa wamelazwa hospitalini. Rais William Ruto ameagiza uchunguzi wa kina kubaini ...
TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA (DIPLOMA) 1. Kuanzia mwaka wa masomo 2023/2024 Serikali ilianza kutoa mikopo kwa wanafunzi wenye sifa nzuri za stashahada (Diploma) za kipaumbele kwa Taifa ambazo zinatajwa kwa kina katika 'Mwongozo wa Utoaji Mikopo kwa Stashahada ...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa kuwasilisha maombi ya mikopo umeongezwa mbele hadi tarehe 14 Septemba, 2024. Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao ...