Video: Mwili wa mwanaume waokotwa kwenye mtaro eneo la Mwenge Dar es Salaam

Mwili wa mwanaume ambae mpaka sasa bado haujatambulika umeokotwa asubuhi hii kwenye mtaro eneo la Mwenge njia ya Coca-Cola, karibia na Jengo la Josam house.

Mashuhuda wanasema umetolewa macho yote mawili, Polisi wameuchukua inasemakana wameupeleka Mwananyamala Hospital.