Mwili wa mwanaume ambae mpaka sasa bado haujatambulika umeokotwa asubuhi hii kwenye mtaro eneo la Mwenge njia ya Coca-Cola, karibia na Jengo la Josam house.
Mashuhuda wanasema umetolewa macho yote mawili, Polisi wameuchukua inasemakana wameupeleka Mwananyamala Hospital.





Leave a Reply
View Comments