Baada ya usiku tulivu uliogubikwa na wasiwasi na mashaka, wakazi wa mji wa Goma, katika Kivu Kaskazini, waliamka na milipuko ya silaha nzito na nyepesi zilizokuwa zikiendelea kurindima saa sita mchana katika wilaya kadhaa, hususan Birere na Bujovu, zilizoko karibu. ...