Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika May mwaka huu 2024 ambapo jumla ya Watahiniwa 111,056 wa Shule na kujitegemea sawa na 99.43% ya Watahiniwa wenye matokeo ya mtihani huo wamefaulu. Akitangaza ...