TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI 2025 1.Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia elimu ya Sekondari hadi elimu ya Juu. Aidha, uandikishaji utahusisha vijana wa Kitanzania ...

๐Ÿช– Nafasi za Kujiunga na JWTZ 2025/2026 โ€“ Maelezo Kamili ya Utaratibu na Vigezo Je, unatafuta nafasi za kujiunga na JWTZ kwa mwaka 2025/2026? Kama ndoto yako ni kuwa mwanajeshi wa Tanzania, basi makala hii ni kwa ajili yako. JWTZ ...

BENKI ya CRDB Kupitia Wakala wake Mkuu NAD Insurance Agency inatangaza fursa za Ajira 400 Kwa Vijana wa Kike na wa Kiume wenye Sifa katika nafasi ya Kufungua Akaunti za wateja wapya wa CRDB (Freelancers). Maeneo ya Kazi: Mara, Kagera, ...

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ni taasisi muhimu nchini Tanzania inayotoa mafunzo ya ulinzi, uzalendo, na ujasiriamali kwa vijana. Kila mwaka, JKT inatangaza nafasi za kujiunga, na mwaka huu wa 2024, vijana wanakaribishwa kujiunga kupitia mchakato wa uandikishaji, Fomu ya ...