Jeshi la Marekani limefanyia majaribio kombora lisilokuwa na silaha la Minuteman III intercontinental ballistic (ICBM) lenye uwezo wa kubeba vichwa vya nyuklia, katika kile ilichokitaja kuwa ukaguzi wa kawaida. Jaribio hilo lilikuwa la kwanza la aina yake chini ya utawala ...
Rais wa Marekani Donald Trump amemtaja Vladimir Zelensky wa Ukraine kama "dikteta bila uchaguzi," akimshutumu kwa kusimamia vibaya mgogoro na Urusi na kutumia vibaya misaada ya kifedha ya Marekani. Mvutano kati ya Washington na Kiev umeongezeka kufuatia mazungumzo ya Marekani ...
Wanajeshi wa Urusi wameingia katika Mkoa wa Sumy kaskazini mashariki mwa Ukraine kwa mara ya kwanza tangu 2022, Rais Vladimir Putin amesema. Alizungumza kwa ufupi kuhusu hali ya uwanja wa vita na waandishi wa habari huko St. Petersburg, siku moja ...
Wapiganaji wa kundi la Twirwaneho wanasema kuwa ndege isiyo na rubani iliangusha mabomu katika kambi yao iliyoko Gakangara, sekta ya Ngandja, Fizi Territory, jimbo la Kivu Kusini, na kuua watu 6, akiwemo Kanali Michel Rukunda Makanika. Baadhi ya wakazi wa ...
Kiongozi wa Ukraine Vladimir Zelensky amewapuuzilia mbali wakosoaji wa ndani wanaotaka uchaguzi, akiwaambia "nendeni mchague uraia mwingine," na akisisitiza kwamba upigaji kura utasalia kusitishwa hadi mzozo na Urusi utakapomalizika. Awali uchaguzi wa wabunge nchini Ukraini ulikuwa umeratibiwa kufanyika Oktoba 2023, ...
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ameionya Rwanda dhidi ya kuishambulia huku mvutano ukiongezeka kuhusu mzozo mbaya katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika maoni yaliyotangazwa siku ya Jumatano. Ndayishimiye, ambaye mara kwa mara amesema mzozo wa DRC ...
Afrika Kusini imetuma wanajeshi na zana za ziada za kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika siku za hivi karibuni, duru za kisiasa na kidiplomasia zinasema baada ya wanajeshi wake 14 kuuawa katika mapigano na waasi wanaoungwa mkono na ...
Mkutano wa pamoja wa SADC-EAC uliofanyika Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam kuhusu mzozo wa usalama mashariki mwa DRC unaendelea kuibua hisia. Baada ya serikali ya Kongo, ambayo ilizingatia maazimio ya mikutano hii, ni zamu ya Afrika Kusini kupitisha maudhui ...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema anataka kupata makubaliano na Kiev ili kuhakikisha Washington inarudishiwa pesa zake kwa kufanya biashara ya msaada wa madini adimu ya Ukraine - bila kujali kama "yanaweza kuwa ya Urusi siku moja." Katika mahojiano na ...
BARUA YA WAZI KWA WANACHAMA WOTE WA SADC NA EAC STATE Kuhusu: Kutumwa kwa wanajeshi wa SADC katika Jamuuri ya kidemokrasia ya Congo na kukiuka Mkataba wa SADC MUTUAL DEFENSE PACT- mgogoro wa Kongo kimsingi ni wa kisiasa, msingi wa ...