Vatikani imewapa wanaume wanaojihusisha na mapenzi ya jinsi moja (mashoga) ridhaa ya kuwa mapadri, mradi tu wataendelea kuwa waseja na kujiepusha na kuendeleza "utamaduni wa mashoga," kulingana na waraka ulilochapishwa na Baraza la Maaskofu wa Italia (CIE) mnamo Alhamisi. Waraka ...