Nafasi za Kujiunga na JWTZ 2024 Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa kitanzania wenye elimu ya kidato channe na kidato cha sita. Aidha, uandikishaji utahusisha vijana waliopo katika makambi ya ...