Mzozo kati ya Urusi na Ukraine utaisha wakati Moscow itakapotimiza malengo yote ya operesheni maalum ya kijeshi, msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov aliwaambia waandishi wa habari wakati wa mkutano Jumanne. Peskov alikuwa akijibu madai ya rais wa Ukraine Vladimir Zelensky ...
Vikosi vya Urusi vimedungua ndege tatu za kivita za Ukraine katika muda wa saa 24 zilizopita, Wizara ya Ulinzi mjini Moscow imesema. Ndege mbili aina ya Sukhoi Su-27 zinazoendeshwa na Kiev ziliharibiwa na Vikosi vya Wanaanga vya Urusi, huku ulinzi ...
Kundi linalojihami la Yemen limesema lilitumia "kombora lake jipya la balestiki ya hypersonic" katika shambulio hilo Kombora lililorushwa kutoka Yemen lilipiga eneo la kati la Israeli Jumapili asubuhi, kulingana na Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF). Kundi la Houthis, ambalo ...
Kim Jong-un amempokea katibu wa Baraza la Usalama la Urusi, Sergey Shoigu, huku maafisa wote wakiapa kuzidisha uhusiano kati ya Moscow na Pyongyang. Kiongozi wa Korea Kaskazini pia aliwatakia "watu wa Urusi ushindi." Mwezi huu wa Juni, Rais wa Urusi ...
Papa Francis aliwaambia waandishi wa habari siku ya Ijumaa kwamba, Wagombea urais wa Marekani Donald Trump na Kamala Harris wote "wanapingana na haki ya mtu kuishi," na wapiga kura Wakatoliki wa Marekani wanapaswa kuchagua "mgombea ambae ni muovu mdogo," Akizungumza ...
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameonya kuwa, Kuondoa vikwazo vya matumizi ya silaha za nchi za Magharibi kwa Ukraine kutahusisha moja kwa moja Marekani na washirika wake katika mzozo na Urusi na akaonya kwamba kutapatiwa jibu mwafaka kutoka kwa Urusi. ...
Wanajeshi wa Urusi wamevirudisha nyuma vikosi vya Ukraine kufuatia uvamizi wao katika Mkoa wa Kursk na kukomboa makazi kadhaa, Wizara ya Ulinzi ya Moscow imetangaza. Katika taarifa yake siku ya Alhamisi, wizara hiyo ilisema kuwa katika muda wa saa 48 ...
Ukraine imepoteza takriban wanajeshi 11,400 tangu ilipoanzisha uvamizi katika Mkoa wa Kursk nchini Urusi mwezi uliopita, Wizara ya Ulinzi ya Moscow ilisema Jumatatu. Jeshi la Urusi pia limeharibu zaidi ya vitengo 1,000 vya vifaa vya kijeshi vya Ukraine, vikiwemo vifaru ...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema katika mahojiano na chapisho la Brazil, Metropoles kwamba mpango wa amani uliopendekezwa na serikali za Brazil na China unalingana zaidi na maslahi ya Urusi na bado haukubaliki kwa Kiev. "Kwa bahati mbaya, nadhani [mipango ...
Wanafunzi 17 wa shule ya msingi ya Hillside Endarasha wamefariki baada ya bweni lao kuungua moto usiku wa kuamkia leo. Wanafunzi hao wameteketezwa kiasi cha kutotambulika huku wengine 13 wakiwa wamelazwa hospitalini. Rais William Ruto ameagiza uchunguzi wa kina kubaini ...