habari24.co.tz
0
  • HABARI ZA KIMATAIFA
  • HABARI ZA KITAIFA
  • MICHEZO
habari24.co.tz
habari24.co.tz
  • HABARI ZA KIMATAIFA
  • HABARI ZA KITAIFA
  • MICHEZO
Home » HABARI ZA KITAIFA » Page 2

HABARI ZA KITAIFA

Waandamanaji washambulia balozi Kinshasa
HABARI ZA KIMATAIFAMAGAZETI YA LEO

Waandamanaji washambulia balozi Kinshasa

Tangu siku ya Jumatatu (Januari 27), waandamanaji mjini Kinshasa walikuwa wakitoka ubalozi mmoja hadi mwengine kuonesha kile walichosema ni upinzani wao kwa mataifa ya kigeni yanayoshirikiana na Rwanda kuwaunga mkono waasi wa M23 mashariki mwa nchi yao. Balozi za hivi karibuni ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com January 28, 2025 January 28, 2025
Ujerumani yasitisha mazungumzo na Rwanda kuhusu misaada ya maendeleo
HABARI ZA KIMATAIFAMAGAZETI YA LEO

Ujerumani yasitisha mazungumzo na Rwanda kuhusu misaada ya maendeleo

Ujerumani siku ya Jumanne ilisitisha mazungumzo yaliyopangwa na Rwanda kuhusu msaada wake wa maendeleo, ikitaka vikosi vya Rwanda na washirika wao wa M23 kuondoka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ilisema Wizara ya Maendeleo na Ushirikiano wa Kiuchumi ya ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com January 28, 2025 January 28, 2025
Trump yuko tayari kukutana na Putin ‘wakati wowote’
HABARI ZA KIMATAIFAMAGAZETI YA LEO

Trump yuko tayari kukutana na Putin ‘wakati wowote’

Rais wa Marekani Donald Trump amesema yuko tayari kukutana na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin wakati wowote ili kujadili suluhu la kidiplomasia la mzozo kati ya Moscow na Kiev. Wakati wa mkutano na waandishi wa habari katika Ikulu ya White ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com January 23, 2025 January 23, 2025
Taliban yakataa ombi la Trump la kurejesha silaha za Marekani zenye thamani ya dola bilioni 7
HABARI ZA KIMATAIFAMAGAZETI YA LEO

Taliban yakataa ombi la Trump la kurejesha silaha za Marekani zenye thamani ya dola bilioni 7

Taliban yakataa ombi la Trump la kurejesha silaha za Marekani zenye thamani ya dola bilioni 7 Kundi la Taliban wamesisitiza kwamba wanahitaji silaha zaidi, ili kupigana na kundi la ISIS-K pamoja na Jimbo la Kiislamu - Mkoa wa Khorasan ambalo ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com January 23, 2025 January 23, 2025
Kurasa za Magazeti ya leo Jumatatu January 20, 2025
HABARI ZA KITAIFAMAGAZETI YA LEO

Kurasa za Magazeti ya leo Jumatatu January 20, 2025

Pitia Kurasa za Magazeti ya leo Jumatatu January 20, 2025. Hizi apa kurasa za magazeti ya leo Tanzania January 2025. Peruzi Kurasa za Magazeti ya leo Jumatatu January 20, 2025 SOMA PIA: Hizi apa Timu zilizofuzu robo fainali klabu bingwa ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com January 20, 2025 January 20, 2025
Magazeti ya leo Magazetini leo Tanzanua Magazeti
Medvedev yaonya mataifa madogo ya NATO Kushambuliwa na Nyuklia
HABARI ZA KITAIFA

Medvedev yaonya mataifa madogo ya NATO Kushambuliwa na Nyuklia

Wanachama wadogo wa NATO ambao wana ndoto ya kushambulia Urusi wanapaswa kujua kwamba Kifungu cha 5 hakifai dhidi ya silaha za kinyuklia, naibu mkuu wa Baraza la Usalama la Urusi, Dmitry Medvedev, amesema. Rais huyo wa zamani wa Urusi na ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com September 28, 2024 September 28, 2024
mahakama ya Uingereza yaitaja Tigo ndio iliyofichua data za simu za mwanasiasa wa Tanzania aliyepigwa risasi - The Gurdian
HABARI ZA KITAIFA

Mahakama ya Uingereza yaitaja Tigo ndio iliyofichua data za simu Tundu Lissu kupigwa risasi- The Guardian

Mpelelezi wa zamani wa Tigo anadai alifukuzwa kazi isivyo haki kwa kuibua wasiwasi juu ya shambulio la Tundu Lissu mwaka 2017. Watu wenye silaha walijaribu kumuua mwanasiasa wa upinzani Tanzania baada ya kampuni ya mawasiliano ya simu kusambaza data zake ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com September 24, 2024 September 24, 2024
Upinzani Tanzania watangaza maandamano kushinikiza kupatikana kwa waliotekwa
HABARI ZA KITAIFA

Upinzani Tanzania watangaza maandamano kushinikiza kupatikana kwa waliotekwa

Chama kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema kimetangaza kufanya maandamano Septemba 23 katika jiji kuu la kibiashara, Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kueleza walipo wanachama wao waliodaiwa kupotea. Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amesema, “Nimetangaza hadi kufikia September 21,2024 tunategemea ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com September 12, 2024 September 12, 2024
Vijana 5 waliombaka Binti kwa maagizo ya afande "Wakamatwa"
HABARI ZA KITAIFA

Vijana 5 waliombaka Binti kwa maagizo ya afande “Wakamatwa” – Masauni

Vijana 5 waliombaka Binti kwa maagizo ya afande "Wakamatwa" Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu. ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com August 6, 2024 August 6, 2024
Magazeti ya leo Jumanne Julai 30, 2024
HABARI ZA KITAIFA

Magazeti ya leo Jumanne Julai 30, 2024

Magazeti ya leo Jumanne Julai 30, 2024 ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com July 30, 2024 July 30, 2024
1 2 3
  • Maelfu Waandamana Ujerumani kupinga sheria ya kuandikishwa Jeshini kwa lazima
  • Marekani yashutumu Umoja wa Ulaya kwa “shambulio dhidi ya Wamarekani” baada ya kutozwa faini kwa X
  • 🇹🇿 TANGAZO: Nafasi 5,476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi kwa Vijana wa Kitanzania – Fursa ya Kujifunza na Kujiajiri!
  • Umoja wa Mataifa waitaka Tanzania kuchunguza mauaji ya siku ya uchaguzi
  • Ligi kuu ya Tanzania bara kurejea wikiendi hii
  • HABARI ZA KIMATAIFA
  • HABARI ZA KITAIFA
  • MICHEZO

© 2025 habari24. All Rights Reserved.