Lissu anavojinasua na kifo mahakamani

Baada ya upande wa jamhuri kukiri kuendelea na shauri, Lissu anasimama na kusema. Lissu: Waheshimiwa majaji mnamo tarehe 8 Septemba mwaka jana 2025 ,niliambiwa na mahakama hii kwamba kesi hii itaamua kama kwa sheria za nchi hii inawezekana kwa kiongozi wa kisiasa au kwa mtu mwingine yoyote kuhumumiwa kifo kwa kuzungumza maneno ya kisiasa kwenye mkutano wa kisiasa, waheshimiwa majaji ...