Baada ya Iran kuishambulia Israel, Rais wa Iran Masoud Pezhkian alidai kuwa nchi hiyo inataka amani katika eneo hilo. Rais wa Iran Masoud Pezeshkian anadai kuwa Iran inataka amani katika eneo la Mashariki ya Kati wakati wa mkutano wa pamoja ...
Israel imemtangaza Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kuwa mtu asiyefaa baada ya kutoa wito wa kusitishwa kwa mapigano kufuatia shambulio la Iran dhidi ya taifa la Kiyahudi na kulaani kuongezeka kwa mzozo katika Mashariki ya Kati. Siku ...
Kuongezeka kwa ghasia katika Mashariki ya Kati kunaashiria "kufeli kabisa" kwa sera ya Marekani katika eneo hilo chini ya Rais Joe Biden, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi Maria Zakharova amesema, muda mfupi baada ya Iran kuzindua ...
Marekani na Israel zinasema zinafanya kazi pamoja ili kuhakikisha Iran inakabiliwa na mashambulizi makali ya kulipiza kisasi kufuatia mashambulizi ya makombora takribani 200 hivi ya masafa marefu dhidi ya Israel usiku wa Jumanne. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alisema ...
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa Iran ilitumia makombora ya Hypersonic kwa mara ya kwanza wakati wa mashambulizi yake dhidi ya Israel apo jana. Iran ilirusha makombora kadhaa katika kile IRGC ilichokiita jibu la mauaji ya ...
Iran imefanya mashambulizi makubwa ya balestiki dhidi ya Israel, huku Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) likidai kuwa limerusha "dazeni" za makombora kulenga shabaha za kijeshi kote nchini. IRGC imesema shambulio hilo limekuja kujibu mauaji ya Ismail Haniyeh, ...
Kundi linalojihami la Yemen limesema lilitumia "kombora lake jipya la balestiki ya hypersonic" katika shambulio hilo Kombora lililorushwa kutoka Yemen lilipiga eneo la kati la Israeli Jumapili asubuhi, kulingana na Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF). Kundi la Houthis, ambalo ...