Shambulio kubwa la masafa marefu la anga la Urusi limeripotiwa kuanzishwa kulenga maeneo ya viwanda kote Ukraine. Kiev imeapa kujibu mashambulizi hayo dhidi ya Urusi. Mahambulizi ya masafa ya marefu yaliliripotiwa kurushwa mapema Jumatatu asubuhi na kuhusisha ndege zisizo na ...
Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus na mkurugrnzi wa Kanda ya Afrika ya WHO, Matshidiso Moeti, wanatarajiwa kuhudhuria mkutano huo unaoanza leo Jumatatu, pamoja na mawaziri 47 wa afya kutoka katika eneo hilo. Kulingana na tovuti ya Shirika la ...
Israel yashambulia maeneo 40 ya urushaji makombora Lebanon Hezbollah ilisema ilifyatua maroketi 320 chapa ya Katyusa kuelekea Israel na kupiga shabaha 11 za kijeshi katika kile ilichokiita awamu ya kwanza ya kisasi dhidi ya Israel kwa mauaji ya Fuad Shukur, ...
Jeshi la Urusi limefanya mashambulizi makubwa kwenye vituo vya nishati vya Ukraine, Wizara ya Ulinzi mjini Moscow imethibitisha. Rais Vladimir Zelensky wa Ukrainia alikiri kwamba nchi hiyo imepata mojawapo ya majanga makubwa zaidi katika miezi ya hivi karibuni, na kusababisha ...
Belarus imekusanya idadi kubwa ya wanajeshi kwenye mpaka wake na Ukraine, Wizara ya Mambo ya Nje ya Ukraine ilisema siku ya Jumapili, ikiionya Minsk dhidi ya kufanya "makosa ya kutisha." Ikinukuu ripoti za kijasusi, wizara hiyo ilisema kwamba Vikosi vya ...
Ndege zisizo na rubani za Kiukreni zashambulia nyumba ndani ya Urusi Ndege zisizo na rubani za kamikaze za Ukraine zimegonga majengo ya makazi ya Gorofa katika Mkoa wa Saratov, Urusi, Gavana Roman Busargin alisema mapema Jumatatu. Kulingana na Busargin, walinzi ...
Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025. Ligi Kuu ya Tanzania ni miongoni mwa Ligi Bora Afrika, tukianzi kwenye ushindani, ubora wa vikosi mpaka mafanikio ya virabu kimataifa mfano Simba, Yanga na Azam FC. Yanga ilifika fainali Kombe la Shirikisho ...
Serikali ya mpito ya Bangladesh ilibatilisha pasipoti ya kidiplomasia ya waziri mkuu aliyeondolewa madarakani Sheikh Hasina siku ya Alhamisi (Agosti 22, 2024), baada ya kukimbia uasi ulioongozwa na wanafunzi mapema mwezi huu. Wizara ya mambo ya ndani ilisema katika taarifa ...
Shirika la Shirikisho la Uvuvi la Urusi (Rosrybolovstvo) limezindua mpango mkubwa wa utafiti unaolenga kusoma rasilimali za biolojia ya baharini kwenye pwani ya nchi 18 za Kiafrika katika Bahari ya Hindi na Atlantiki. Sherehe za kuzindua msafara huo zilifanyika Jumatano ...
Kiongozi wa mpito wa Gabon, Jenerali Brice Oligui Nguema, amewazuia wajumbe wa serikali yake kusafiri nje ya taifa hilo la Afrika ya Kati kwa likizo zao. Msemaji wa serikali Kanali Ulrich Manfoumbi alitangaza uamuzi huo kwenye televisheni ya taifa siku ...