Israel Yaendelea na Mashambulizi ya Anga Gaza Baada ya Mazungumzo na Hamas Kuvunjika Israel imeanzisha tena mashambulizi ya anga katika Ukanda wa Gaza baada ya kushindwa kufikia makubaliano na Hamas kuhusu kuachiliwa kwa mateka waliobaki na utekelezaji wa makubaliano ya ...
Uingereza itaheshimu zaidi hati ya kukamatwa kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ikiwa angekuja kuzuru, msemaji wa 10 Downing Street amesema. Mahakama ya ICC yenye makao yake mjini The Hague Uholanzi ilitangaza ...
Kiongozi wa Kundi la Hamas alieuwawa Yahya Sinwar, alikataa fursa ya kutoroka na kuondoka Ukanda wa Gaza, kwa kubadilishana na kuruhusu Misri kufanya mazungumzo ya makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza badala ya Hamas, jarida hilo la Wall Street Journal liliripoti ...
Israel imefanya mashambulizi zaidi ya anga huko Beirut na kusini mwa Lebanon, ikiwa ni pamoja na matawi ya benki ambayo inasema inaunga mkono Hezbollah. Milipuko ilisikika katika wilaya ya Dahieh ya Beirut kusini, eneo linalodhibitiwa na Hezbollah, pamoja na Bonde ...
Marekani imeamibia Israel kwamba itawekea vikwazo vya silaha kwa taifa hilo la Kiyahudi ikiwa haitasuluhisha mzozo wa kibinadamu huko Gaza, N12 iliripoti Jumanne. Ikulu ya White House iliripotiwa kuelezea wasiwasi wake mkubwa juu ya "kuzorota kwa hali ya kibinadamu huko ...
Israel yashambulia maeneo 40 ya urushaji makombora Lebanon Hezbollah ilisema ilifyatua maroketi 320 chapa ya Katyusa kuelekea Israel na kupiga shabaha 11 za kijeshi katika kile ilichokiita awamu ya kwanza ya kisasi dhidi ya Israel kwa mauaji ya Fuad Shukur, ...