habari24.co.tz
0
  • HABARI ZA KIMATAIFA
  • HABARI ZA KITAIFA
  • MICHEZO
habari24.co.tz
habari24.co.tz
  • HABARI ZA KIMATAIFA
  • HABARI ZA KITAIFA
  • MICHEZO
Home » HABARI ZA KIMATAIFA » Page 7

HABARI ZA KIMATAIFA

Kongo yazitaka timu za ulaya kusitisha ufadhili kwa Rwanda
HABARI ZA KIMATAIFA

Kongo yazitaka timu za ulaya kusitisha ufadhili kwa Rwanda

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Therese Kayikwamba Wagner amevitaka vilabu vya soka vya Arsenal, Bayern Munich na Paris St Germain kusitisha makubaliano yao ya udhamini ya utalii kwa Rwanda maarufu ''Visit Rwanda''kwa kile alichokiita ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com February 3, 2025 February 3, 2025
Urusi yatoa wito wa kusitishwa kwa mapigano mashariki mwa DRC
HABARI ZA KIMATAIFAMAGAZETI YA LEO

Urusi yatoa wito wa kusitishwa kwa mapigano mashariki mwa DRC

Urusi imetoa wito wa kusitishwa mara moja mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DR Congo), ambako kundi la waasi la M23 limezidisha mashambulizi dhidi ya jeshi la taifa na vikosi vya kulinda amani. Katika taarifa yake siku ya ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com January 28, 2025 January 28, 2025
Trump aagiza kusitishwa kwa usambazaji wa Dawa za UKIMWI kwa nchi maskini
HABARI ZA KIMATAIFA

Trump aagiza kusitishwa kwa usambazaji wa Dawa za UKIMWI kwa nchi maskini

RAIS wa Marekani, Donald Trump ameagiza kusitishwa usambazaji wa dawa za Ukimwi, malaria na kifua kikuu kwa nchi zinazopewa misaada na Shirika la Maendeleo la Marekani (USAID). Agizo hilo limetolewa leo Januari 28, 2025 huku hatua hiyo ikilenga kupitia upya ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com January 28, 2025 January 28, 2025
Waandamanaji washambulia balozi Kinshasa
HABARI ZA KIMATAIFAMAGAZETI YA LEO

Waandamanaji washambulia balozi Kinshasa

Tangu siku ya Jumatatu (Januari 27), waandamanaji mjini Kinshasa walikuwa wakitoka ubalozi mmoja hadi mwengine kuonesha kile walichosema ni upinzani wao kwa mataifa ya kigeni yanayoshirikiana na Rwanda kuwaunga mkono waasi wa M23 mashariki mwa nchi yao. Balozi za hivi karibuni ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com January 28, 2025 January 28, 2025
Ujerumani yasitisha mazungumzo na Rwanda kuhusu misaada ya maendeleo
HABARI ZA KIMATAIFAMAGAZETI YA LEO

Ujerumani yasitisha mazungumzo na Rwanda kuhusu misaada ya maendeleo

Ujerumani siku ya Jumanne ilisitisha mazungumzo yaliyopangwa na Rwanda kuhusu msaada wake wa maendeleo, ikitaka vikosi vya Rwanda na washirika wao wa M23 kuondoka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ilisema Wizara ya Maendeleo na Ushirikiano wa Kiuchumi ya ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com January 28, 2025 January 28, 2025
Trump yuko tayari kukutana na Putin ‘wakati wowote’
HABARI ZA KIMATAIFAMAGAZETI YA LEO

Trump yuko tayari kukutana na Putin ‘wakati wowote’

Rais wa Marekani Donald Trump amesema yuko tayari kukutana na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin wakati wowote ili kujadili suluhu la kidiplomasia la mzozo kati ya Moscow na Kiev. Wakati wa mkutano na waandishi wa habari katika Ikulu ya White ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com January 23, 2025 January 23, 2025
Taliban yakataa ombi la Trump la kurejesha silaha za Marekani zenye thamani ya dola bilioni 7
HABARI ZA KIMATAIFAMAGAZETI YA LEO

Taliban yakataa ombi la Trump la kurejesha silaha za Marekani zenye thamani ya dola bilioni 7

Taliban yakataa ombi la Trump la kurejesha silaha za Marekani zenye thamani ya dola bilioni 7 Kundi la Taliban wamesisitiza kwamba wanahitaji silaha zaidi, ili kupigana na kundi la ISIS-K pamoja na Jimbo la Kiislamu - Mkoa wa Khorasan ambalo ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com January 23, 2025 January 23, 2025
CCM imempitisha rasmi Rais Samia kuwania urais 2025
HABARI ZA KIMATAIFA

CCM imempitisha rasmi Rais Samia kuwania urais 2025

CCM imempitisha rasmi Rais Samia kuwania urais 2025. Chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha azimio la kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu. Azimio hilo ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com January 20, 2025 January 20, 2025
Urusi yatoa hifadhi kwa Wamarekani waliokumbwa na Janga la moto
HABARI ZA KIMATAIFA

Urusi yatoa hifadhi kwa Wamarekani waliokumbwa na Janga la moto

Gavana wa Mkoa wa Kherson nchini Urusi, Vladimir Saldo, ameongeza ofa ya kuwahifadhi wakazi wa California waliofurushwa na moto unaoendelea, mradi tu hawajaunga mkono jeshi la Ukraine au serikali huko Kiev. Moto wa nyika umekuwa ukiendelea katika Kaunti ya Los ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com January 14, 2025 January 14, 2025
Mkuu wa NATO awaonya wanachama kuanza kujifunza Kirusi
HABARI ZA KIMATAIFA

Mkuu wa NATO awaonya wanachama kuanza kujifunza Kirusi

Wanachama wa Umoja wa Ulaya wa NATO wanahitaji kuongeza kwa kiasi kikubwa matumizi yao ya kijeshi au kuanza kujifunza lugha ya Kirusi, katibu mkuu wa jumuiya hiyo inayoongozwa na Marekani, Mark Rutte, amesema. Matamshi ya Rutte yalikuja wakati wa kipindi ...

Posted by By assengablogtz@gmail.com January 14, 2025 January 14, 2025
1 … 6 7 8 … 22
  • BOT exchange rate USD to Tzs today June 1, 2026
  • Chaos erupts in Paris after PSG wins Champions League (VIDEO)
  • TMA forecasts cold weather strong winds and rains
  • BOT exchange rates for May 25, 2026
  • Tanzania-based Amsons Group acquire Oryx Energies in a deal estimated to be worth $250 million (over 650 billion Tanzanian shillings)
  • HABARI ZA KIMATAIFA
  • HABARI ZA KITAIFA
  • MICHEZO

© 2025 habari24. All Rights Reserved.

Subscribe Newsletter

Get our latest news straight into your inbox.

Please input your email address. That email is already subscribed. Your address has been added.